Header Ads

test

LIVE: Matokeo ya Urais Nchini Kenya

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais kufikia sasa
Katika matokeo ya awali ya vituo 39620 out of 40883 yaliyopakiwa na IEBC mtandaoni:

    Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 8009175 votes (54.31%)
    Raila Odinga wa ODM ana kura 6608405 votes (44.81%)

Kura zilizoharibika kufikia sasa ni 393969

No comments