Msimamo wa CLOUDS MEDIA baada ya Makonda Kugomba Kuomba Radhi
Leo
ulifanyika mkutano na Waandishi wa habari ukimuhusisha Mkurugenzi wa
vipindi Clouds Media Ruge Mutahaba, RC wa Dar es Salaam Paul Makonda na
Jukwaa la Wahariri kuhusu swala la kufungiwa kwa habari za Mkuu wa mkoa
Paul Makonda.
Baada
ya mkutano huo na mengine yaliyojadiliwa na kauli zilizotolewa ikiwemo
ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kusema hawezi kuomba radhi, Ruge Mutahaba
amehojiwa na vyombo vya habari baada tu ya mkutano huo kuisha na kueleza
msimamo wa CLOUDS.
“Baada
ya jambo la leo msimamo wa CLOUDS MEDIA GROUP ni uleule tuliokua nao
toka siku ya jumamosi baada ya kupatanishwa na Mh. Rais, siku ile
alivyotupatanisha sisi kama Watanzania hatukua na budi zaidi ya kukubali
na kurudi kwenye uhusiano wa kiuweledi.
“Leo tuliitwa kwenye kikao kwa kutegemea labda kungekua kuna kingine cha ziada lakini…………………………” Amesema Ruge
Post a Comment