EPL, LALIGA NA SUPER LIG KUNOGESHA WIKIENDI YAKO
Ukiwa na Meridianbet, unauwezo wa kutengeneza faida kila siku, muda wowote ukiwa mahali popote. Meridianbet ni michongo tu! Wikiendi hii burudani itanoga zaidi kwa michezo ya kukata na shoka, naam! Michezo mikubwa, inaendanda na Odds Kubwa! Iko hivi;
Tutaanza kuiandaa wikiendi kwa mchezo wa Arsenal vs Aston Villa Ijumaa usiku. Emirate Stadium kuwapokea vijana wa Dean Smith ambao msimu huu ni bado wanajitafuta. Haimaanishi kuwa Arteta naye ameshakamilika, hapana. Lolote linawezekana ndani ya dakika 90. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.91 kwa Arsenal.
Kwenye Serie A, Bologna watachuana na AC Milan jumamosi hii. Milan anafanya vizuri kwenye Ligi yao lakini kwenye Ligi ya Mabingwa, hakika Milan wanataabika. Mdhamini shujaa wako kwa kubashiri na Meridianbet, ifuate Odds ya 1.99 kwa AC Milan.
Super Sunday! Macho na masikio ya mashabiki wa kandanda yatakuwa kwenye EPL na El Clasico! FC Barcelona vs Real Madrid kuanzisha safari ya burudani wikiendi hii. Hii ni El Clasico ya kwanza bila uhasimu wa Lionel Messi vs Sergio Ramos. Wawili hawa sasa hivi ni wachezaji wa PSG. Ni Barcelona au Madrid atakayekutoa kimasomaso? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.50 kwa Real Madrid.
Kwenye EPL, jua litazama wakati ambapo Old Trafford inashuhudia mchezo mkubwa kwenye historia ya soka la Uingereza. Miamba miwili ya soka la Uingereza – Manchester United kuchuana na Liverpool. Afe Kipa, Afe Beki, huu ni mchezo wa viwango vikubwa. Haijalishi timu ipo kwenye ubora gani wakati zinapokutana, mchezo huu siku zote umejaa hisia na upinzani wa kila namna. Ifuate Odds ya 2.25 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.
Imalize wikiendi yako kwa mchezo mkubwa kwenye Super Lig kule nchini Uturuki. Besiktas uso kwa uso na Galatasaray. Mahasimu wawili wa jiji la Instanbul wanaoipeperusha bendera ya Uturuki kwenye mashindano ya Ulaya. Shujaa wako kupatikana ndani ya dakika 90, weka dau lako kwenye Odds ya 2.30 kwa Besiktas.
Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!
Post a Comment